Rose Babu atakuona nuksi unamuharibia soko,ivi babu saahizi si mapesa kem kem,manake walivyokua wanakanyagana huko Loliondo.
Taarifa zako si za kuaminika!jamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha kutumia dawa zake,
kwa taarifa ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu na kumtoa roho!
tahadhari chukua hatua!
Taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!
hao wako wengi sana...hasa hawa wa kisukari...Kwa Babu giza wakuujamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha kutumia dawa zake,
kwa taarifa ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu na kumtoa roho!
tahadhari chukua hatua!
Taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!
PJ...mimi nina ndugu zangu watatu wanangoma wamekunywa hiyo dawa ya babu hakuna kitu...hivyo hivyo wa kisukari hakuna kitu...kuna majirani wawili tumewazika walikuwa na kisukari walipo kunywa dawa ya babu wakaacha kutumia dawa...Taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!
Awali ya wote! Pole sana msiba ulio kupata. Ila hakika Babu anawaambiwa wa2 ya kwmb kama unatumia dawa yoyote usiache ku2mia hata km umepatata kikombe.huyu dada mume wake alifariki mwaka 1996 na alikuwa anatumia arv mpaka alipoenda kwa babubaada ya kurudi aliacha kutmia arvyaani ugojwa ulikuja kama kimbunga na kuondoka nayehili naliweka hapa uchague mwenyewe
maarifa yapi hayo?, wajasiriamali wapi hao, wale wanaotengeneza ARV's ?imeandikwa kuwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!
poleni wafiwa, Mungu yupo atatunusuru na hawa wajasirimali!
Glory to God!
Sikio la kufa, halisikii dawa, kikombe cha babu wa loliondo kinaongeza nguvu ya virus, na vinakuwa havisikii tena dawa, tutawasikia wengi sana wakipukutika, na watapukutika kweli.
- kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
- uzuri mwingine kama ni weli wanapukutika inaweza kuwa nafuu maana asometime ARV zinawafanya wafe katika mateso ya hali ya juu ndhani ya muda mrefu. Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
Acha upotoshaji Mkuu!Sikio la kufa, halisikii dawa, kikombe cha babu wa loliondo kinaongeza nguvu ya virus, na vinakuwa havisikii tena dawa, tutawasikia wengi sana wakipukutika, na watapukutika kweli.