buvaquine
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 364
- 171
Solution ni moja, mtafutie msaidizi[emoji23] [emoji23]Nilimwambia mkuu ila naona ni mazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ni moja, mtafutie msaidizi[emoji23] [emoji23]Nilimwambia mkuu ila naona ni mazoea
Safi sana, ila kingine Jaribu kuwa mvumilivu kdgo mkuureplacement kabisa sio msaidizi tu
Utapata tu inshaallah nakuombea hata akipanga vitu upya hutaona tabu ndo kazi ya mke hiyohahaa naombea nipate wa hivyo mkuu
Hahaha, sasa wewe unajuaje kwamba hukoromi, wakati wanaokorma wanakuwa wamelala?huyo ninamuacha on the spot.
Kukoroma halafu mimi sikoromi hilo ni tatizo, usingizi hauwezi kuja.
Nimesoma chuo tulikuwa tunashare chumba watu wanne.Hahaha, sasa wewe unajuaje kwamba hukoromi, wakati wanaokorma wanakuwa wamelala?
[emoji23][emoji23] ulishapata wa hivyo anakoroma kama trekta [emoji23][emoji23]Hujapata anayekoroma usiku bado.
Kua uyaone.
Tafuta unayeendana naye na anayeendana nawe.
Wewe tatizo lako lilikuwa nini?Nimesoma chuo tulikuwa tunashare chumba watu wanne.
Kila mtu alikuwa ana weakness yake usiku.
Mmoja alikuwa analala chali huku ametawanya miguu yote miwili.
Vijana wa siku hizi tunasema kifo cha mende, sasa tulikuwa tunashangaa sana inakuwaje mwanaume analala vile.
Kwahiyo kulala wakati wenzio wako macho ilikuwa kawaida sana, na ukiamka lazima tukuambie tatizo lako.
Yani ni shida tupu aisee mana hivo sio udhaifu ni kujiendekeza tuhahaa mkuu ni kweli kuna vitabia vidogo dogo vinakwaza balaa
[emoji23][emoji23] ulishapata wa hivyo anakoroma kama trekta [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume ndo vinara wakukoroma sana, ila mi sipendi mkoromaji mbona keroHujapata anayekoroma usiku bado.
Kua uyaone.
Tafuta unayeendana naye na anayeendana nawe.
Sasa sijui unamrekebishaje asikorome mkuu?Wanaume ndo vinara wakukoroma sana, ila mi sipendi mkoromaji mbona kero
Sent using Jamii Forums mobile app