Mlioko kwenye ndoa mnashindaje hili jambo?

Mlioko kwenye ndoa mnashindaje hili jambo?

jamaa moja mwezi uliopita alikuwa natuambia ofisini kuwa mtu yyte mwenye akili hawezi kuishi na mwanamke! na anasema ukitaka kulijua hilo angalia mwenyewe watu wote wanaojulikana kama wana akili duniani hawakuwahi kuishi na wanawake na kama waliishi nao basi ni kwa muda mchache sana.
sawa kabisa mkuu
 
Sifa kubwa ya nguo ni kusitiri.

Mambo ya mifuko, marinda, mikunjo ni baadhi tu sio muhimu sana.

Hiyo nguo spesho kutoka kiwandani mkuu
Hata ndoa ndo hivyo, lengo kuu ni kuendeleza kizazi katika misingi mizuri, hayo ya sijui mke mwenye matako, mrembo si ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliye mkamilifu, mrekebishe kwa kile unachoona hayuko sawa. Ukiona hakuelewi, acha kumrekebisha. Elekeza nguvu na akili yako katika kutafuta hela. Ipo siku atakuhoji kwanini umeacha kumsemasema ili ajirekebishe, mjibu una mpango wa kuoa mke mwingine atakayekusikiliza, hivyo umeelekeza nguvu na akili zako katika kujiongezea kipato maana unajua kuhudumia wake wawili lazima uwe fiti kiuchumi. Ishia hapo, halafu mwambie hupendi alivyosuka, asipoenda kubadili hiyo staili ya nywele mara moja, sio mtu huyo, hilo jini.
 
Back
Top Bottom