Mlioko kwenye ndoa mnashindaje hili jambo?

Mlioko kwenye ndoa mnashindaje hili jambo?

POVU RUKSA WAKUU
ndio maana wazungu wanaruhuusu watoto wao wakifika miaka 16 kuwa na GF na BF,muanze kuzoeana mapema,lkn Bongo mtu una 35 unapata mwanamke ana 30 yaani lazima kusumbuana .Mwanamke kuna vitu hutakiwi kufanya kujichokonoa puani na vidole, sijui unakula huku unaongea,kutafuna vizuri (table manners ni muhimu sana kwa mtoto wa kike),kuwa mbishi,kutema tema mate njiani nk.Kama huwezi kuvumilia inabidi uwe unamwambia kila mara,yaani ukimwambia kitu mara 10 hasipobadilika huyo kimbia babu.
MTOTO WA KIKE UNATAFUNA KAMA JENERETA?,KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA.
So table manners ina appear kwa wanawake tu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kijinga sijapata ona aisee

Ina maana nyie nyumbani kwenu wote mko na tabia, hulka moja? Majirani je? Shuleni je wanafunzi/chuo wenzako uliishi nao aje? Wote hao mna/mlikuwa na tabia moja?

U need to grow up man

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga eti urafiki? Maisha ya chuo kuna mtu anayemfahamu mwenzie deep down?

Yaani unafananisha maisha ya ndoa na vitu gani hivyo? Hakika uwezo wako ndio mdogo wa kufikiri, waliooa na kuolewa wamejibu kwa busara zao kwa sababu wanaufahamu uzito wake.

wewe naona unakurupuka, kangi wa pili.

Comment ya kijinga sijapata ona.
 
Nashukuru umejua kuwa mmelewa tofauti mila, desturi dini ila nakusisitizia
Upendo Devion, Upendo baba, upendo huvumilia, upendo husamehe,upendo hufundisha,huleta heshima,upendo jamani nakazia tena upendo.
OA MWANAMKE UNAYEMPENDA.
upendo [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Acha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga.

Yaani unafananisha maisha ya ndoa na vitu gani hivyo? Hakika uwezo wako ndio mdogo wa kufikiri, waliooa na kuolewa wamejibu kwa busara zao kwa sababu wanaufahamu uzito wake.

wewe naona unakurupuka, kangi wa pili.

Comment ya kijinga sijapata ona.
Wewe ndo mjinga empty set kabisa, unaeingia nae kwny ndoa na kuishi nae hajatoka sayar tofauti na unayoishi wewe ni kama unavyoenda boarding au chuoni unakitana na watu tofauti wanatoka sehemu tofauti na makuzi/malezi tofauti.

Kama umeenda shule basi usingeuliza huu upupu maana ulitakiwa kujifunza huko kuishi na watu tofauti, the same as mahali unapoishi, jamii inayokuzunguka, majirani, wafanyakazi wenzio n.k

Hata marafiki tulionao tunatofautiana, kuna wenye tabia za kila aina na mapungufu lkn tunawezaje kuishi nao?

Dude, grow up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukimpata atakaegusa mtima wako hata kuvuta makohozi hutasikia utakua unaona burudani kama anakuimbia tu
 
Wewe ndo mjinga empty set kabisa, unaeingia nae kwny ndoa na kuishi nae hajatoka sayar tofauti na unayoishi wewe ni kama unavyoenda boarding au chuoni unakitana na watu tofauti wanatoka sehemu tofauti na makuzi/malezi tofauti.

Kama umeenda shule basi usingeuliza huu upupu maana ulitakiwa kujifunza huko kuishi na watu tofauti, the same as mahali unapoishi, jamii inayokuzunguka, majirani, wafanyakazi wenzio n.k

Hata marafiki tulionao tunatofautiana, kuna wenye tabia za kila aina na mapungufu lkn tunawezaje kuishi nao?

Dude, grow up

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule nimekwenda na kuishi nimeishi maisha ya chuo room moja watu 4.

Kwa minajili ya comment yako ni kuwa eti sijui kuishi na watu kulingana na madhaifu yao! sidhani kama uko sawa.

Urafiki hauna chembe chembe za mapenzi ndani yake sio kama alivyo mke.

Nikuulize swali, waweza kwenda date na mwanamke anakula vibaya vibaya, sehemu open? hutojisikia tofauti?
 
Back
Top Bottom