Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Upendo ni kitu cha ajabu sana unaweza sema hivi ukapata alie na mapungufu ukampenda na yale mapungufu ukayaona ni ya kawaida tu,Sijapata bado.
Ila nikipata mtoto mashallah anakoroma, nimempenda, akikoroma mimi nalala nasikiliza BBC World Sevice, tena kwa headphones.
Matokeo bila bila.
Hahaaa
Niliona vifaa flan hivi vimetengenezwa kinawekwa mdomoni sijui puani kwa anaekoroma ile sauti haitoki nje ya kukoroma [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app