Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

point mkuu
 
Kua mtumishi sio utumwa chief, bali utumwa ni kuishi maisha ya kumtegemea mtoa maamuzi ama kuishi maisha ya kutokujua kesho/hatma yako ama kuishi kwa kusubiri fulani akubali ama akatae (haujui)
hakuna aijuaye kesho mkuu! hayupo!!! ndio maana tunamwamini MUNGU. Ndio maana ni lazima tuyakabidhi maisha yetu kwa Bwana Yesu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Utafungwa ha ha ha aaa!!! (Natania). Kajichane Mkuu!!!
===
Halafu hawa waliotoa msemo wa "kujichana " walifikiria nini hasa ..hivi kula kunahusishwaje nankujichana? Wataalamu wa lugha njooni.
Kujichana unatumia mikono,Kula unatumia mikono,kile kitendo cha kupeleka na kurudisha.Na pia kujichana ni kama kufurahia mlo
 
Ujumbe mzuri sana,nauwekea Lamination
 
Ujumbe mzuri sana,nauwekea Lamination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…