Wewe!pole million kumi zote hizo vyumba viwili!?Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
umejenga kitajiri sana ndo maanaZamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
hahaha ka hivi hapanaMarahabaaa hujambo?View attachment 3457207
Umeongeza gharama kwa haka ka nguzoMarahabaaa hujambo?View attachment 3457207
Pambeee 🤗Marahabaaa hujambo?View attachment 3457207
vyumba viwili vya kulaa sebule na kistoo cha kimtindo chumba kimoja master na kachoo ka nje
Shida ilianzia kwenye msingi kuipata level msingi umekula pesa nyingMilioni 11 nimejenga vyumba viwili 11 kwa 11 sebule kubwa 12*12 bila kusahau vyoo viwili vya ndani na jiko kubwa 6*6 .
Milango, madirisha ila sijagrill na nishahamia kibishi.
Nb. Nimeijenga nyumba hiyo Dodoma 2024.
Nashangaa m10 umejengaje vyumba viwili
Vyako wewe Milan go njeMilioni 11 nimejenga vyumba viwili 11 kwa 11 sebule kubwa 12*12 bila kusahau vyoo viwili vya ndani na jiko kubwa 6*6 .
Milango, madirisha ila sijagrill na nishahamia kibishi.
Nb. Nimeijenga nyumba hiyo Dodoma 2024.
Nashangaa m10 umejengaje vyumba viwili
Kwahiyo hela unajenga hizo room mbili Hizi hizi tunazo panga sisi hata kwenye mkondo wa maji na inabaki chenchi haijalishi unajenga mkoa gani.Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu