Mlioishi India naombeni ushauri; Nitakaa India kwa miezi 8 na bosi wangu

Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
544
328
Ameniomba nimsindikize huko ambako anaenda kimatibabu, kwa aina ya matibabu yake anasema tunaweza kukaa huko miezi 8 au zaidi. Ameniomba nimsindikize huku mshahara wangu ukiwa unabaki
vilevile bila makato yoyote.

Ninachotaka kujua kwa wenye uzoefu na nchi hiyo ni kipi naweza kukifanya nikiwa huko?
Kuna vyuo ambavyo ni Local vinavyofundisha Lugha, ufundi na taaluma ambazo kwa hapa
bongo zinaweza kuwa na manufaa?

Naombeni msaada kwa mliowahi kuishi huko nini naweza kufanya kwa muda huo kadiriwa
ili nisirudi tupu? Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom