Mliofunga ndoa mnafanya kama mlivyofundishwa?

Mliofunga ndoa mnafanya kama mlivyofundishwa?

Hellow guys,

Mliofunga ndoa kanisani natumai mlihudhuria mafundisho ya ndoa kwa muda wa mwezi kama sikosei ila inadepend na kanisa.

Katika mafundisho hayo huwa mnafundishwa kuwa kabla ya tendo la ndoa ni lazima musali kwaza ndio mfanye huwa mnafanya hivo au ndio mlifanya siku mbili mkaacha.

Ni mimi katekista
😂Dah!katekista mbona ghafla sana
 
Back
Top Bottom