Mliofunga ndoa mnafanya kama mlivyofundishwa?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
Hellow guys,

Mliofunga ndoa kanisani natumai mlihudhuria mafundisho ya ndoa kwa muda wa mwezi kama sikosei ila inadepend na kanisa.

Katika mafundisho hayo huwa mnafundishwa kuwa kabla ya tendo la ndoa ni lazima musali kwaza ndio mfanye huwa mnafanya hivo au ndio mlifanya siku mbili mkaacha.

Ni mimi katekista
 
Yapo mengi sana yanafundishwa ila binadamu ni wabishi ,ukiachana na Sala na Dua Kuna kubehave pia kama mtu aliye ndani ya ndoa.

Bado ukija kweny mizunguko mwanaume anaendelea kushikashika wanawake za watu ilihali yupo kweny ndoa plus mautani ya kishamba ,Wanawake hawanaga tatizo ila inabidi wajiweke kweny mazingira kutoruhusu kushikwashikwa haileta maana...kwa sababu ushakuwa mke au mume wa mtu kidogo kuna heshima unatakiwa uwe nao dhidi ya mwenza wako
 
Tunatumia nguvu nyingi kuwafundisha
 
Maombi yanayo lengwa hapo ni hali ya ndani ya nafsi na roho maana hivyo ni kama gates ( spiritual ), kama state za hizo gates ni mbaya mnapo nyanduana kuna uwezekano wa evil entities kutumia hizo door ku attack ndoa ikiwa kwenye eneo la uchumi, afya au malezi, ndio maana kama umenuna nuna na utu wako wa ndani haupo sawa usifanye mapenzi na mkeo ilo kumrizisha weka state ya ndani sawa ndio piga pipe
 
Nasikitishwa na wengi wao wanafanyanga tu ili mladi hawafwati mafundisho wewe ni mwanafunzi mzuri sana
 
Munaomba uku mkisema tendo hili likazae matunda mazuri na zaidi tupate watoto walio bora kiafya
Mfano kama mwanamke ndo katoka kujifungua ana kama mwezi na unajua kabisa kwa wakati huo hawez kupata ujauzito,utasemaje hvyo kuwa hili tendo likazae matunda mazur

Au unatakiwa useme hili tendo likalete furaha ya milele
 
Umejijibu mwenye sina nyongeza hapo
 
Nasikitishwa na wengi wao wanafanyanga tu ili mladi hawafwati mafundisho wewe ni mwanafunzi mzuri sana
Kwenye tendo la ndoa huwa kuna spiritual transaction inafanyika, ingawa watu wana take lightly .. ni vyema kuhakikisha tunafanya tendo nafsi na roho zetu zipo kwenye state nzuri sana, ili kuepusha hizo gates kuwa salama ..
 
Maombi yanayo lengwa hapo ni hali ya ndani ya nafsi na roho maana hivyo ni kama gates ( spiritual ), kama state za hizo gates ni mbaya mnapo nyanduana kuna uwezekano wa evil entities kutumia hizo door ku attack ndoa ikiwa kwenye eneo la uchumi, afya au malezi, ndio maana kama umenuna nuna na utu wako wa ndani haupo sawa usifanye mapenzi na mkeo ilo kumrizisha weka state ya ndani sawa ndio piga pipe
Hii sketa uko vzur,sio kunyandua tu naona hata taratibu zake za kufata unazijua

Sijui ndugu yako Mzabzab nae anajua haya mambo kiundani hv au yeye ni kurusha wazungu tu
 
Hivi vitu muhimu sana, na ukitaka kujua uzito wake, angalia shetani anapotaka leta uharibifu maala popote hutumia weapons ya sex ( mnyanduano ).. angalia kuanzia mwanzo, malaika waliasi kwasababu ya ku nyanduana na wana wanadamu na kuwafundisha maovu.. sex ni siraha hatari sana ikiwa negative na ni positive iki fresh..

Na ndio maana lazima uwe selective pa kumwaga wazungu, spiritual transaction inayofanyika wakati wa kukaza right watu wangekuwa wanaona wangekuwa wanaogopa au wangeacha umalaya umalaya

mzabzab hanga makuu yeye 😅😅
 
Huwa tunasali kama familia au tukiingia tena kwa bedroom tusali tena?
 
Back
Top Bottom