_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 942
Sio kweliNasikia wanafundishwa kuwa na mafiga matatu.
Ukiwa na ndoo kichwani akikisha una kidumu mkononi.
Sio kweliNasikia wanafundishwa kuwa na mafiga matatu.
Ukiwa na ndoo kichwani akikisha una kidumu mkononi.
Teheee teheee kama nawaona waliofundwa wakiisoma hii post kwa hasira lol,
True thatTeheee teheee kama nawaona waliofundwa wakiisoma hii post kwa hasira lol,
KAMA ni art ya kufanya mapenzi, enzi hizi kuna magazine/vijarida/Internet /DVDs kibaaaaao, mtu kama hajiamini anaweza kujiongeza huko... Tena hata hapa Jf kuna jukwaa la kikubwa lol
Enzi hizi mnatoa nywele za siri na majivu?? Si mtumie veet?
Nachoona hapa ni mmeshindwa kujua mama na bibi zetu hayo mafunzo yalikua absolutely NECESSARY, sababu ya MAZINGIRA yaliyokuwepo wakati huo, hamna smartphone, computers,magazeti nk ya kuongelea ngono na utunzaji wa familia...
Anyway ni choice yako kuenda huko unyagoni ama kumpeleka binti yako huko.....
Wewe ... NaanzajeHivi Kwa nini akili yangu Inanitaka niamini ww ni cute b