FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Kabisa... IlaAcha ni wa highlight tu maana wanatuchora pm
% na uhakika waweza tulitea atoto... 
Kabisa... IlaAcha ni wa highlight tu maana wanatuchora pm
% na uhakika waweza tulitea atoto... 
Ha ha masista du mna vituko...mchuchu wangu mmoja alikuwa hapendi kweli nikimuita mrembo! Napenda nikipokea simu naanza 'niambie mrembo....'Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..
Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Hii mvua imefanya warembo mmejificha...tutajua ukweli baada ya miezi tisa....🙂🙂🙂😉
Cc: espy Nalendwa Heaven Sent

Haha haha... Acha Woga Muremboo Heaven Sent.Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..
Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Au kulikuwa na kundi lingine pembeni....🙂🙂🙂Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..
Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Basi na me sipo tofauti na mchuchu wako. Ukute mtu anakuita mrembo huku kimoyomoyo anacheka lolHa ha masista du mna vituko...mchuchu wangu mmoja alikuwa hapendi kweli nikimuita mrembo! Napenda nikipokea simu naanza 'niambie mrembo....'
Haha not to that extent aisee. Afu huku mkoani kwetu mvua ipo ya kawaida tu, haishawishi sanaHii mvua imefanya warembo mmejificha...tutajua ukweli baada ya miezi tisa....🙂🙂🙂😉
Cc: espy Nalendwa Heaven Sent
.Hatuwazii mema at all![]()
Naogopa kufikiria ulichowaza..
Mmh kwa kweli ukiniita mrembo siitiki, niite tu shangaziHaha haha... Acha Woga Muremboo Heaven Sent.

Hapana tulikuwa tu wenyewe. Several times tulikuwa tunakumbushana room tunachekaaaAu kulikuwa na kundi lingine pembeni....🙂🙂🙂
Hii mvua imefanya warembo mmejificha...tutajua ukweli baada ya miezi tisa....🙂🙂🙂😉
Cc: espy Nalendwa Heaven Sent
Una balaha wewe, mwandiko kivipi?Haahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
Kushawishi nini dota?Haha not to that extent aisee. Afu huku mkoani kwetu mvua ipo ya kawaida tu, haishawishi sana![]()
![]()
.
Haha nilisahau kama bado hujaanzaMimi mnanikuza tu, hiyo miezi 9 hainihusu jamani.
Muremboo.... Acha kukimbia sifa zako. Ngoja nijaribu bahati naweza kupata bila kuombaMmh kwa kweli ukiniita mrembo siitiki, niite tu shangazi![]()
![]()
![]()