Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..

Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Mngejibu ndiyo....... Halafu mnamuuliza..
"kwani na wewe ni mrembo?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom