Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Puma nayo nilishaisogeza muda.......nimebakiwa na ile LX V8......ndio naona inastahimili hizi mvua......
Kwa sasa usije maana hata kama unajua kuogelea hutastahimili........ngoja ngoja kwanza......

Aisee, wewe mtu umeadimika kama mizizi ya jiwe! Upo? Nadhani mvua hizi zimeangusha mikonga yote ya simu huko Yaenda, ndio maana ukaadimika kiasi hiki; na hivi WI-FI hazikamati huko, ni shida!
 
Back
Top Bottom