Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Hata mkifumaniana mnachukuliana tu maana mtafanyaje sasa na ndio ishakuwa!!
Hahaha, maana hakuna namna.

Hata mkifumaniana mnachukuliana tu maana mtafanyaje sasa na ndio ishakuwa!!

Hahahaaaa! Haya ngoja nikakafute.Hakika nimestaajabu yani dah nakuomba kafute kale kaneno basi nnavo penda kutafuna karanga acha tu
Kwa hisani yako.
Toka sitakiiPacha. Nimekumiss..
Kwakweli.Hahaha, maana hakuna namna.![]()
B dada mamboo za masiku mkongwe?Mimi siwezi hama hapa......na wala ID sibadili......wayiiii...
Akikugusa tu piga kelele nije haiwezekani atake kuwachukua wote ndugu zangu wa kike.

Jitaje puliziii
Sawa aunty mekuelewa, mimi sikugawi jamani.


Nimekosea kwani?Naona unajipa matumainiii![]()
HapanaaNimekosea kwani?
Manga tayari alishamchukua dada yangu akamrudisha Ngoda hivyo ajaribu ukoo mwingine tuAcha wivu kwa ndugu zako wa kike Njeree![]()
Mmh nn??
Yaani wewe hata hatujamaliza kuongea ndiyo umeenda kuianzisha jaman
UnamjuaKumbe umedirty na Atoto![]()

Naona umekuaMmh nn??