Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Wale wale.
Wale wale.
Ndio maana. Puma ipo nije?
Naona unajipa matumainiiiHuyu musimseme jamani plz kama akiwa atoto potelea mbali roho inamsukuma kwa sasa

Naona unaniozeshaaa bila mahariiManga atoto si X wako! Siku ya kukutana na Jovitha leta mrejesho tu

Mmmh
Sawa aunty mekuelewa, mimi sikugawi jamani.
Poa anko.Mambo mpwa
Nimekumiss pia shikamooPoa mdogo wangu wa Moshi
Nakumiss ujue
Sasa ulitaka nipoozeWewe nae ID mpya ila imechangamka....🙂😉
MmhWe unamsikiliza Daby ohooo shauri yko
Hakika nimestaajabu yani dah nakuomba kafute kale kaneno basi nnavo penda kutafuna karanga acha tu![]()
![]()
![]()
![]()
Jamani my ex sijakutusi, ni utani tu baba. Mie nawezaje kukutusi, yaani taanzia wapi kwamfano!!!
Aunty kudirty ndio nini?Kumbe umedirty na Atoto![]()
Umeamini kama sio mimi?Wewe shangazii nawewe unataka unigawe km kaka yako eee sawa tumi siyo Atoto shangazii
Siyo wewe niniUmeamini kama sio mimi?