Pole yao sana mahondaw wangu... Kuna siku i told u.. Huyo anayeandika upuuzi about Smart911 na mahondaw ni fulani... Ukawa unabisha... Ila ukaja prove ni kweli...
Nikakuambia as long as ushajua, dawa ni ignore tuu whatever it will be said.. Ignore...
Hahaha mahondaw wangu... Tucheke kwa dhaaraaau... Nilishakuambiaga about this.. Na siyo mmoja... Wapo wengi wengi.. Nakuambiaga huyo fulani huyo na ID nyingine mpotezeee...