Alafu leo haujanipm sijui umeanza kukata tamaa!! Usinifanyie hivyo bwana.🙂🙂🙂🙁
Siku ileee tuko paleeeeHebu nikumbushe lini nilikwambia hivyo...?
Nipo my sister, miss you too!!
Oooh kumbeeee! Basi sawa.Figa moja haliinjiki chungu....🙂🙂
Agalia wenzio wasije kukuwahi.Ha ha ha ha ha nakuacha uni miss miss kidogo....
Thubutuuu!! Shem wangu wa sasa ni boonge la bahati, yaani kaokota embe chini ya mbuyu. Full maburudani.Ndio alivyokudanganya mdogo wako....? Kakimbia bahati....
Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!!Duh pole na majukumu mkuu....usipotee sana
Nipo my sister, miss you too!!
Alafu umenikumbusha, uliniahidi kuninunulia nini?Lazima anakununulia vi-vocha unaona umepataaaaaa!