Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu...kidogo nimwanike
Kuzidiwa wapiii!! Umala*** tu wengine.
...Teh!, espy huo ni wa kiwango cha lami.![]()
![]()
![]()
Halafu nashukuru imeanza, kama unavyojua Inabidi tufanye kikao cha dharura..

Huhuhuuuu!!Hahah!, no comment on this.
Ngoja niwe mpenzi mtazamaji.![]()

...haha, espy huo ni wa kiwango cha lami.
![]()
![]()
![]()
Ndio ile "wasione sketi...."
kama mashindano vile..Si hivyo, maisha yenyewe haya mafupi dear.Inaonesha wengine hamjanyooka...!
Ulikua nani vile?
Ndo naamka... kwani leo sio weekend??Salamaaaa, kumekucha tukawajibike.....
Hapa naliandaa guta nikahenye....
Naamini Asprin, RRONDO, Heaven Sent, Daby & co wameamkamo....