rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Huwa natamani watoe confessions, hakuna alowahi mtongoza ndugu yake?
Ha ha ha yupo jamaa yangu mmoja hivi namhifadhi alikumbana na aibu ya mwaka kwa kutongoza hovyo
Huwa natamani watoe confessions, hakuna alowahi mtongoza ndugu yake?
Ha ha ha yupo jamaa yangu mmoja hivi namhifadhi alikumbana na aibu ya mwaka kwa kutongoza hovyo
Mkuu hata Mimi ile avatar yako vilinipa fikra kuwa ni binti flan kisu sana.Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu...kidogo nimwanike

Huhuhuuuu!! Sio wewe kweli!!!Mkuu hata Mimi ile avatar yako vilinipa fikra kuwa ni binti flan kisu sana.![]()
Tongozo sio ajabu, wapo wengi tu wamekuwa wapenzi humu. Tusiumbuane turahisishiane kwa kuweka vijiutambulisho visivyo tuingiza chaka.![]()
![]()
![]()
Hata sijui, ngoja aje aseme.Kujua nini?
Hahaaaaaa!Huhuhuuuu!! Sio wewe kweli!!!
dawa ya moto ni moto.Khaaah!! Mna kazi.Hahaaaaaa!
Labda kwa ID nyinginedawa ya moto ni moto.
Nimecheki hiyo user name yako ya zamani nikajikuta hata sijawahi kuiona pia. So ngoja nipige kimya.nawasilisha ID yangu mpya kama umenijuaaaaaa piga kimyaaaaa....
Haha kazi sio kidogo...!Khaaah!! Mna kazi.
ID ya zamani nilikutongoza vizuri nikakosea jambo moja tu ukanikataa sasa nimekuja upyaNimecheki hiyo user name yako ya zamani nikajikuta hata sijawahi kuiona pia. So ngoja nipige kimya.