Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

Huenda tusielewane lakini ukweli ni huu.

Ukiona mkeo anashirikiana sana na babaye kukuhujumu, hiyo ni taa nyekunde na kiashiria cha jambo lisilo la kawaida kati yao. Mara nyingi mabinti wa hivi huwa wana ajenda za siri na baba zao tangu mwanzo na wewe mwanaume unakuwa umetumika kama kiungo cha kuwafanya wawe huru.

Hutaki kuamini? Aga kwa mkeo kuwa umesafiri kwenda mbali na umuage baba mkwe wako kisha fanya uchunguzi wa kina katika hizo siku zote kuanzia mienendo ya mkeo akitoka, anaongea na nani n.k kisha uone mara ngapi anakutana na baba ake. Kisha leta ushuhuda.
Unataka kusema kwamba mtoto huyo aweza kua anatembea na babaye!!
 
hizi ni baadhi ya sababu ambazo humfanya mwanamke awe na kiburi ndoani:

1. Humshirikishi/unamficha baadhi ya mambo kuhusu kipato chako
2.Unampangia bajeti ya matumizi badala ya yeye kupanga
3. Unamchunguza sana hadi anahisi umemuona malaya hivyo muda mwingi ana kisirani juu yako
4. Humchochei vyema ukuni kama ilivyokua mwanzo wa mahusiano

Chunguza katika hizo sababu kisha uifanyie kazi kupata suluhu ya changamoto yako.
Nonsense kabisaa
 
Weakness yangu ni kumuelekeza mwananamke anaenipa stress za kipumbavu kuwa sihitaji kero za aina hio ila awe anafanya makusudi kama hana akili. Nikimkataza kitu akakaidi mara 2 mara 3 kitakachofuata hata baba yake hatakifurahia.
nimewaza hicho ambacho hata baba yake hatakifurahia lol.
 
Nilichogundua mke wako anakupenda kweli ndio maana alikuwa akiondoka anarudi Tena,ukipelekwa polisi Bado anakuja kukutoa ukimpiga anayaacha yapite mnaendelea kuishi.Sasa wewe ulitumia udhaifu wake wa kukupenda sana Kama fimbo ya kumkomoa,Tuseme tu unabahati ya kupendwa Sana ila angekuwa mwanamke mwengine asongevumilia vipigo ungeachwa angeondoka bila kukuaga.Kama una watoto wa Kiume wakubwa au wadogo Kama utakuja kurudia Tena tabia ya kumpiga mkeo Kuna siku watakuchezeshea kichapo na wewe maana mtoto wa Kiume kwa mama umwambii kitu.Muda mwengine uwezi jua labda wewe ndio ulikuwa na makosa maana sisi wanaume kukuli makosa kwa mke tunaonaga Kama ujinga yaaani tunapenda kutumia ubabe.Mwanamke ni kiumbe Fulani anayependa kubembelezwa,kudekezwa kidogo,utani kidogo na sio kuendeshwa kijeshijeshi,mbona wakati wa kumpata mwenzi wakati wa kuoa ua wanaume tunakuaga na lugha nzuri za kubembeleza na mpangilio wa mashairi hivi ni Nani mwalimu wetu? Kwananini hatutumii ubabe ila ukisha fanikisha lengo lako mwanamke umemuweka ndani umemwoa ndipo ubabe unaanza maneno mazuri yote ulikuwa ukimwimbia kipindi Cha uchumba yanapeperushwa na upepo uvumao.Muda mwingine unakuta mwanamke anaanza kisirani kumbe ujawahi mnunuria hata kazawadi wanawake wanapenda vizawadi vidogovidogo na surprise siku moja moja.Soma Agano la kale,kitabu Wimbo ulio Bora 6:1-13.Ukiweza kukisoma kitabu hiki kisome chote.

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Unaongelea vitu vya kufikirika mkuu,

kunipenda sana haiwez kua tiketi ya yeye kashindwa kutekeleza wajibu wake Kama Mama au mke wangu ktk familia.

Maisha ya ndoa Ni Zaid ya Neno "nakupenda"

Tuna watoto wanatakiwa wale,wasome, wamjue Mungu, nidhamu n.k

Maisha ya ndoa hayawezi kwenda sawa Kama unayaishi maisha yale ya kwenye TAMTHILIA za KIFILIPINO.

Vinginevyo utakuja kusingizia Wachawi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wakishikwa masikio na wazazi ,SHOGA zao au Ndugu zao wana tabia ya kukupima mizani mara kwa mara.

Yaani anaweza kukufanyia kitu cha ovyo Tena makusudi kabisa na asiombe msamaha ili tu akupime reaction yako.

Ukinyamaza Wala kutoonyesha kukasirishwa nacho, Basi anaona huo ndo UTARATIBU SASA.

Mfano: -
1. unaeza Rudi nyumban, ukakuta jukum ulilomwachia afanye hajafanya.
Na ukimuuliza anakujibu hivi
"Wee mwanaume nae skuhizi unakiherehere sana, Si nlikwambia ntafanya. Kwani siku si haijaisha?"

Kwa mwanaume, kuambiwa una "KIHEREHERE" Ni fedhea kubwa Sana.

Usipolikemea, siku nyingine atarudia Neno Lile like na utadharilika zaidi.

2.Mkeo Ni mama wa nyumbani.
Sasa Unaeza Rudi nyumbani umetoka kazini Njaa inauma na umechoka ukakuta mkeo hajapika, vyombo vichafu, nguo chafu na watoto hawajaoga.
Ukaskia anakwambia.
"Mme wangu mi napika na wee nisaidie Basi kuosha hivi vyombo"

Kwa mwanaume,
ukikubali TU bila kuhoji kwanini.
Ataona ndio utaratibu na utakua unaachiwa vyombo uoshe.

Mifano ipo mingi, ila wanawake wanatabia ya kutujalibu Sana wanaume.

Usiposimama imara,
Mkeo atakuja singiziwa amekupa limbwata kumbe TU wee ndo umeendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
22q

Sent using Jamii Forums mobile apMkuu Kuna kitu umenena Hapa
 
Muheshimu mkwe wako ndo aliekulelea mkwe.

Ila kuna wababa wana roho ngumu, yani mtu anakubinulia binti yako, anamkunja atakavyo. Huyo mtu ni wa kukaa nae mbali.
 
Baba mkwe bwana, kwakweli ameharibu sana ndoa yangu kwa kumjaza mke wangu kiburi, ndani hamna maelewano.
Usipende Sana mtu kuliko unavyojipenda mwenyewe.

Arudi kwa babake akalala nae na wewe endelea na shughuli zako akitaka kurdi weka masharti magumu .

Usiwe fala kwa kutaka kuishi kinyonge

Utakufa mapema bro shauri zako

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wakishikwa masikio na wazazi ,SHOGA zao au Ndugu zao wana tabia ya kukupima mizani mara kwa mara.

Yaani anaweza kukufanyia kitu cha ovyo Tena makusudi kabisa na asiombe msamaha ili tu akupime reaction yako.

Ukinyamaza Wala kutoonyesha kukasirishwa nacho, Basi anaona huo ndo UTARATIBU SASA.

Mfano: -
1. unaeza Rudi nyumban, ukakuta jukum ulilomwachia afanye hajafanya.
Na ukimuuliza anakujibu hivi
"Wee mwanaume nae skuhizi unakiherehere sana, Si nlikwambia ntafanya. Kwani siku si haijaisha?"

Kwa mwanaume, kuambiwa una "KIHEREHERE" Ni fedhea kubwa Sana.

Usipolikemea, siku nyingine atarudia Neno Lile like na utadharilika zaidi.

2.Mkeo Ni mama wa nyumbani.
Sasa Unaeza Rudi nyumbani umetoka kazini Njaa inauma na umechoka ukakuta mkeo hajapika, vyombo vichafu, nguo chafu na watoto hawajaoga.
Ukaskia anakwambia.
"Mme wangu mi napika na wee nisaidie Basi kuosha hivi vyombo"

Kwa mwanaume,
ukikubali TU bila kuhoji kwanini.
Ataona ndio utaratibu na utakua unaachiwa vyombo uoshe.

Mifano ipo mingi, ila wanawake wanatabia ya kutujalibu Sana wanaume.

Usiposimama imara,
Mkeo atakuja singiziwa amekupa limbwata kumbe TU wee ndo umeendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao wanawake huwa mnawaokota wapi? Au mnaoa watoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom