Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

prospilla

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
1,111
1,637
Naona kabisa ndoa haina ahueni yoyote, migogoro haiishi na chanzo kikubwa ni ubishi na kiburi cha mke wangu na pia baba mkwe anaongea sana maneno ya kumjaza kiburi bintiye, hilo ndio linapeleka zaidi ndoa yetu mtaroni.

Kama kuna ushauri naomba.

Kama kuna ushuhuda naomba, jinsi ilivyo ngumu kukabiliana na mazoea mwanzo.

Ahsante.
 
Kumbe baba mkwe tena

Yeye ndio tatizo....mtafute upige makofi mwambie asiongelee ndoa yako kabisa

Aongee na mtoto wake mambo mengine ila sio ndoa....

Kama vipi,cut him off totally...

Mwambie asimpigie mkeo simu au lolote,otherwise u will take him out Soprano's style

Kama vipi,ban him totally from your home,na watoto hadi mkeo piga ban wasikanyage kwa baba mkwe

Hii ni vita vya idealogy,launch idealogies arsenals...kwamba kila mtu ajue mbaya na muharibifu ni baba mkwe,tangaza na let it be known he is an instigator...

Vita ya propaganda akikushinda tena,huyo mwanamke lazima afate nonsense za baba yake.....

Nimekuja kugundua,wababa wengi za hawa wasichana tunaooa wametomba binti zao...

Haiwezekani wakawa na power namna over these monkeys....thats my prediction and im afraid its true
Baba mkwe bwana, kwakweli ameharibu sana ndoa yangu kwa kumjaza mke wangu kiburi, ndani hamna maelewano.
 
Kumbe baba mkwe tena

Yeye ndio tatizo....mtafute upige makofi mwambie asiongelee ndoa yako kabisa

Aongee na mtoto wake mambo mengine ila sio ndoa....

Kama vipi,cut him off totally...

Mwambie asimpigie mkeo simu au lolote,otherwise u will take him out Soprano's style

Kama vipi,ban him totally from your home,na watoto hadi mkeo piga ban wasikanyage kwa baba mkwe

Hii ni vita vya idealogy,launch idealogies arsenals...kwamba kila mtu ajue mbaya na muharibifu ni baba mkwe,tangaza na let it be known he is an instigator...

Vita ya propaganda akikushinda tena,huyo mwanamke lazima afate nonsense za baba yake.....

Nimekuja kugundua,wababa wengi za hawa wasichana tunaooa wametomba binti zao...

Haiwezekani wakawa na power namna over these monkeys....thats my prediction and im afraid its true
Ila we jamaa sijui huwaga unafikiria kwa kutumia nini aiseee

Ila nina uhakika kwa asilimia zote kuwa hautumii ubongo wako
 
hizi ni baadhi ya sababu ambazo humfanya mwanamke awe na kiburi ndoani:

1. Humshirikishi/unamficha baadhi ya mambo kuhusu kipato chako
2.Unampangia bajeti ya matumizi badala ya yeye kupanga
3. Unamchunguza sana hadi anahisi umemuona malaya hivyo muda mwingi ana kisirani juu yako
4. Humchochei vyema ukuni kama ilivyokua mwanzo wa mahusiano

Chunguza katika hizo sababu kisha uifanyie kazi kupata suluhu ya changamoto yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom