Ungekuwa karibu yangu ningekutia ngumi ya pua, nimerudi saa 8 usiku lakini nimeamka saa 11 mpaka sasa usingizi umekata nawaza shetani gani alinipitia nikatumia kiasi kile, huu uzi unakumbusha machungu tu, mods uondoeni hapa.Kwa wote mlio-kula bata mpaka mkamaliza akiba yote, vp mnaendeleaje. Hz sikukuu b na zitaendelea kuwepo zisikufanye uwehuke.
Sipokei simu za walevi maana najua zitakuwa ni za matatizo tu






Unaanza kuwakwepa mapemaPokea tu mkuu huenda wanaku alert kituSipokei simu za walevi maana najua zitakuwa ni za matatizo tu