calchooper
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 595
- 357
Binafsi nimependa full mass in oder (fulumasinonda)
Nijaribu kwa sababu ipi? Sina shida na mtu yeyote na wala mi si muuaji, tatizo watu mkiambiwa ukweli mnakimbia kutafuta pa kujidefend mnaishia kuongea vitu pointlessJaribu basi wewe kufanya assassination
Kumbe safari hujaanzaTufike hata safari hatujaianza?