Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
si wamekubaliana lakini shida iko wapi?Hapo target ilikuwa ni Bilione Laizer, niliwahi kusikia kuwa walikuwa kwenye mkataba watu watatu katika shimo lake, yaani yeye Saniniu, mdogo wake na jamaa mwingine mmoja.
Baadae walipoona shimo linatema kuanzia kwenye miaka ya 2016- yeye na mdogo wake wakakubaliana kumrudishia jamaa pesa zake alizojoin nazo katika mkataba so wakabaki wawili tu wanaomiliki mgodi yaani yeye Saniniu na mdogo wake.
Labda jamaa ameona amefanyiwa uhuni akaamua kufanya hayo.