Serikali iliyopita ya JK ilikuwa ya wapiga dili tu, nani alijali udhibiti wa raslimali za taifa, zilimhusu nini? Kama twiga anaweza kusafirishwa kwenye ndege pasipo kujulikana ni vingapi vilipita kabla? Huyu aliyekamata fuvu leo kwa maana ya taasisi alishindwaje kukamata wanyama zaidi ya 100 akiwamo twiga waliotoroshewa Uarabuni? Intelijensia ya vyombo vyetu vya dola huishia kupiga ramli ya kuwepo uvunjifu wa amani wakati vyama vya upinzani vikitaka kufanya maandamano au mikutano. Lakini intelijensia ya kutambua utoroshwaji wa nyara za taifa, utoroshwaji wa makontena yasiyolipiwa kodi, hujuma za ufujaji wa fedha kwenye taasisi za umma, mikataba mibovu nk, hizo huwa hawaziono.
Unaonaje akikamatwa yule mpiga deal wenu mkuu akanyoosha maelezo kwa vitu alivyosafirisha na mkiwa mnamsifia kila kwa muda wote?
Serikali iliyopita ya JK ilikuwa ya wapiga dili tu, nani alijali udhibiti wa raslimali za taifa, zilimhusu nini? Kama twiga anaweza kusafirishwa kwenye ndege pasipo kujulikana ni vingapi vilipita kabla? Huyu aliyekamata fuvu leo kwa maana ya taasisi alishindwaje kukamata wanyama zaidi ya 100 akiwamo twiga waliotoroshewa Uarabuni? Intelijensia ya vyombo vyetu vya dola huishia kupiga ramli ya kuwepo uvunjifu wa amani wakati vyama vya upinzani vikitaka kufanya maandamano au mikutano. Lakini intelijensia ya kutambua utoroshwaji wa nyara za taifa, utoroshwaji wa makontena yasiyolipiwa kodi, hujuma za ufujaji wa fedha kwenye taasisi za umma, mikataba mibovu nk, hizo huwa hawaziono.
Jengeni tabia ya kuwa wavumilivu wakati serikali inatekeleza majukumu yake. Hoja ya kwamba kwa nini haishughulikii suala la twiga hai pale ushahidi utakapokamilika utalisikia. Lakini haiwezekani leo serikali iache kushughulikia matukio yenye ushahidi wa wazi eti kwa kuogopa kuwa huko nyuma kuna shauri kama hilo au linalofanana na hilo halikushughulikiwa.
Mlizi wa mfalme wa Oman akamatwa kwa kusafirisha fuvu la taiga kwenda Oman.
hii siyo breaking news kwa wanajf wengi swali langu kama anaesafirisha fuvu anakamatwa vipi waliosafirisha twigs wakiwa Hai..
au kwa kuwa ilikuwa dili la serikali...
Badala ya kupongeza unalaumu kwa hiyo ulitaka wamwachie yaani vijana wa CHADEMA ni janga la kitaifa. ulitakiwa kutoa pongezi kwa sababu huko nyuma walikuwa hawakamatwi.
usiamini hivhiv bila ushaidi wowote...alete habari kamili na picha atuwekee hapo ndipo tutaamini...otherwise kaamua kupotosha wasiojielewa
Wanamkamata wa nini? Kama fuvu lina thamani sana wamtoze kodi aende zake.mambo mengine nchi hii yanashangaza mnaacha kuhangaika na gesi na madini mnahangaika na mafuvu.
Mimi ni mchina.Ungekuwa mtanzania usingeandika hayo.
Mimi ni mchina.
Sijakuuliza kabila yako.