Mlinzi mpya wa Dr. Slaa

Mlinzi mpya wa Dr. Slaa

Hizo nchi tatu ni zipi? Na alikwenda kupata mafunzo kwa ridhaa ya chama au aliwahi kuwa mtumishi wa mojawapo wa vyombo vya ulinzi&usalama?

Wee nenda kamcheze boss utaona majibu, muulize Mwigulu alivyokuwa Igunga kwa uchaguzi atakupa majibu
 
Bavicha bwana wanavyo msifu huyo jamaa utashangaa watakavyo mgeuka...hata Khagenzi walimsifu sana kama huyu...
 
Good news. With the guide of our lmighty God we want our president to be safe always!!!!
 
Mlinzi hana mafunzo yoyote ya kiu salama hajui hata code za ulinzi wewe mwangalie anavyo fungua mlango hayuko makini kabisa.

Mnaokota watu vijiweni mnawaita walinzi hana hata element moja yakuwa mlinzi semeni CCM wakupeni vijana ile front line ya Mkuu wa nchi usipime hata kidogo vijana wapo fit wale ndio walinzi.

jitahidi kuongea unachokijua na cyo kukurupuka tu na kuongea ya kuambiwa
 
jitahidi kuongea unachokijua na cyo kukurupuka tu na kuongea ya kuambiwa

Mambo ya chadema tuwaachie chadema nyumba yetu ya ccm ina uchafu mwingi kama walivyo chadema tuwaachie yao yetu kwanza kuna mgao wa umeme tujiulize waziri wa nishati anafanya nini....mlinzi wa silaha anawahusu nini ccm tustoe kbanzi kabla ya kutoa boriti letu. ....


Julius Malema Jr ..Friends of Lowasa
 
Dhana mbovu sana na upungufu wa akili kuamini kila anae ipinga chadema ni ccm na kila anae ipinga ccm ni chadema
 
frema120

===> Kumbe hawa walinzi huwa wanaokotwa tu? Wanapata wapi mafunzo ya ulinzi hasa ya kulinda viongozi?

===> Na yeye ni bei gani? i.e thamani yake, kilo na nusu au dau lake litaongezeka kidogo?
Mlinzi gani silaha ya kumlinda kiongozi wale.halafu ni kijana mno bado ana ndoto zake,ni rahisi kurubuniwa
 
Huyo ni mlinzi wa mwisho, hapo kuna line kama tatu kabla hujamfikia. Rais wa 5 huyo huwezi kumgusa
 
Mimi ni professional bodyguard nimekuwa trained cuba,israel huyo hawezi kusimama hata 2 seconds angalia miguu yake hata kusimama hajui

Sifa za kijinga, nipe namba yako inbox nikupe dili zito.
 
Back
Top Bottom