frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Habar wadau? Baada ya Kagenzi kufanya yake kwa mgombea atakayependekezwa kupitia UKAWA, sasa amepatiwa mlinzi mpya kijana Allan aliyelelewa na chama kupitia Jimbo la Ubungo kwa muda sana.
Tumpe Moyo, tushirikiane naye na kusaidiana naye vizuri kama chama na wapenda haki.
Mwisho Tusiache kusema mapungufu yake kwa chama n.k, ilitwende salama huko tuendapo.
Tumpe Moyo, tushirikiane naye na kusaidiana naye vizuri kama chama na wapenda haki.
Mwisho Tusiache kusema mapungufu yake kwa chama n.k, ilitwende salama huko tuendapo.