Mlinganishe huyu na Vasco De Gamba la Taifa

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,265
Reaction score
8,100
Kagame.jpg

Toa comments zako kati ya huyu na Vasco de Gamba la Taifa letu la Tanzania
 
View attachment 35247

Toa comments zako kati ya huyu na Vasco de Gamba la Taifa letu la Tanzania

HUWEZI KULINGANISHA VITU VISIVYOKUWA NA UWIANO......Mfano ndege ya abiria na Bajaj japo vyote ni vyombo vya usafiri havina uwiano kabisa na hivyo hutakiwi kuvilinganisha!!!!!
Kwa kuwa hawa unaotaka walinganishwe hawana KINACHOWAWIANISHA...commeting ni ngumu saaanaa hapa.........
 
ainisha nani ndege na nani bajaj
 
Back
Top Bottom