Which substance?influence ya substance
ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati.Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala la nature pia. Vilevile tunafahamishwa muda mwingine influence ya substance ni suala binafsi ila nalo mliangalie.
Tumlindie heshima ni wajibu wenu kwa manufaa yetu sote.
Which substance?
Hapa kwenye substance hopa. Hebu fafanua kidogo.influence ya substance
MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE, UTAMDHURU UJINGA WAKE.Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa.