Mlimbwende meza moja na mayatima.........X_Mas........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlimbwende meza moja na mayatima.........X_Mas........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Dec 27, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  <table width="310" align="right" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr> <td valign="top" align="right"> [​IMG]
  </td> </tr> <tr> <td class="formStyle" valign="top" align="left"><table width="98%" align="right" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td class="formStyle" valign="top" align="left">Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Msongola Orphanage Trust Fund kilichopo Mvuti, Ilala, Dar es Salaam wakipokea msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 2 kutoka kwa Vodacom Miss Tanzania, Genevieve Emmanuel kupitia kampeni ya ‘Share & Care’ wakati wa Sikukuu ya Krismasi kwenye kituo hicho. (Na Mpigapicha Wetu).</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mnene sana huyu dada
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  huyu miss nani sijui amependeza na tabasamu lake
   
 4. c

  cray Senior Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona anaonekana mzee
   
Loading...