Mlimbwende huyu ni mfano wa kuigwa................

dini ghani hiyo? Kama ni mashahidi wa yehova ni waongo watupu.nlimuuliza mojawapo iwapo mkwewe anajifungua na ikahitajika damu atamwacha afe???? Mbona akaguna na kujibu mungu atamponya tu.huo ni usanii mtupu wajamini mungu huyu huyu ndo kawapa madaktari utaalamu huo na isitoshe biblia haisemi mtu asichangiwe damu. Na isitoshe hawa jamaa wanaojiita mashahidi wa jehova jina halisi la mungu nipo ambae nilikuepo(i am that i am) hakusema jina zaidi ya hilo kwa musa. Jehova au yehova limetokana na kuzitengeza herufi y h wh amablo lilifanywa na katibu wa papa zamani sana.......kwa hivo ndugu yangu tusidanganye wajamini tutoe damu kuokoa maisha.

jehova witness. Hata kama damu inakauka hakuna kuongezewa. Nimewahi kushuhudia wife kapata accident na husband yuko pembeni anamtia moyo afe katika salama katika imani. Lakini hakukubali mke wake aongezewe damu!! Baada ya masaa kama manne hivi wife akafa. Tena jamaaa ni pfoffesor na mama alikuwa ni medical doctor!! Imani!!
 
Back
Top Bottom