Mlimani City Complex Sold for $ 77 million to Botswana Firm Turnstar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlimani City Complex Sold for $ 77 million to Botswana Firm Turnstar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Brooklyn, Sep 9, 2011.

1. Brooklyn

Brooklyn JF-Expert Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Mar 17, 2009
Messages: 1,453
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
The Managing Director of Turnstar Holding Mr. Jacob Mothabane has confirmed that his company is closer to acquiring Mlimani City Property Development in Dar es Salaam as most of the ground work is complete and only waiting for "the approval of the Tanzanian government". The acquisition deal is valued at $77 million became effective on August 1, 2011.

On what exactly Turnstar is buying, the company says a multi business area -a shopping centre with lettable space of about 19,000 square meters, a fully let office park consisting of four double-storeys, A-grade buldings with a let space of plus or minus 11,308 square metres, a conference centre with a full range of facilities and amenities which played a host to the African leg of the World Economic Forum and a ready built residential housing estate with 50 units. Also Turnstar will have access to about 7,500 square metres of undeveloped land for future use.

Source: The Citizen of 9th Sept. 2011 pg10.

2. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
So far so good, everything appear commendable about this deal. It's done in the open and assets value is just about right to anyone aware of the complex and its grander. Now, following the transaction, one hopes that appropriate taxes from the proceeds would be paid to our coffers accordingly. As it's often the case that, this is the part when things gets blurry or are simply shoved to obscurity!

3. The Finest

The Finest JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Jul 14, 2010
Messages: 21,709
Likes Received: 43
Trophy Points: 145

Steve Dii hapo kwenye appropiate taxes huwa ni kitendawili kwa nchi kama TZ na mfumo mbovu uliopo

4. ntamaholo

ntamaholo JF-Expert Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 10,144
Likes Received: 2,104
Trophy Points: 280

round figure inayotarajiwa kufanyika kwa tsh. ni 123,200,000,000 tsh. sasa kwa watalamu wa kodi mtueleze serikali yetu tunatarajia kupata kiasi gani katika transaction hiyo ya fedha nyingi kiasi hicho.

pili mikataba ya mauziano, itaendelea kubaki mwendeshaji mpya kuyamiliki majengo kwa miaka 99 kama tulivyowahi kudokezwa wakati ujenzi unaanza?

kwa maoni yangu, leseni ya kumiliki ardhi ile ikome ndani ya miaka 10, baada ya hapo wataifishwe na wakipenda kuendelea na biashara wapange kwenye majengo hayo sambamba na kulipa kodi inayositahili.

5. Mark Francis

Mark Francis Verified User

#5
Sep 9, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 605
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Kikawaida kodi katika mauziano hayo inatakiwa kuwa ni 10% kama hao jamaa watakaonunua ni non- resident na 20% kama ni resident, kutokana na hilo serikali inatarajia kupata US$ 7,700,000 (sawa na TZS 12,320,000,000) au US$ 15,400,000 (sawa na TZS 24,640,000,000).

Kuhusu kikomo cha umiliki ardhi kwa miaka 10 itakua ni kumuonea mwekezaji na kuzuia uwekezaji katika sekta hiyo. Kiac cha fedha ambacho kimewekezwa katika biashara hiyo ni kubwa sana, just imagine ni biashara ya mtindo gani ambayo inaweza kurudisha kiac kikubwa hivyo cha pesa ndani ya miaka 10?? Tuache uwekezaji ufanyike katika eneo hilo la Mlimani City maana vijana wengi wameajiriwa na kujiajiri pale, kiac kikubwa cha kodi (mf. VAT) kinakusanywa katika eneo lile kila mwezi na faifa nyingine nyingi ambazo zinapatikana pale.

6. M-pesa

M-pesa JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 605
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Why 20% for resident and 10% for non resident? Hatuamimini watu wetu wanaweza ku-invest?

7. Kimbunga

Kimbunga Platinum Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Oct 4, 2007
Messages: 13,012
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
Haya mambo ya kuuziana uziana huwa yana ukakasi ndani yake, siyapendi. Lakini ndio biashara. Ila mkataba wa Serikali ama UDSM na huyo muwekezaji wa sasa ulikuwa unasemaje? Katika mauziano hayo UDSM wanahusishwa kutoa baraka? Kumbuka mkataba wa TANESCO na Richmond (TANESCO walikuwa wanatakiwa watoe baraka). Kuna vitu viiiingi vya kuangalia hapa. Wataalamu tusaidieni.

8. B

Big Ben Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 10
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
It is not like SHERATON turnout to be MOVENPICK, kuna kakodi kanatambukwa hapo,

9. Candid Scope

Candid Scope JF-Expert Member

#9
Sep 10, 2011
Joined: Nov 8, 2010
Messages: 11,896
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Mlimani City ni mali ya nani? Kama ni kampuni ya mwekezaji binafsi bila ubia na serikali basi ana haki kuamua anavyotaka kama kumwuzia mtu mwingine ila tu mradi taratibu na sheria za nchi hazikiukwi. Sina kumbukumbu sawa maana kama sijakosea mmiliki alikuwa mmarekani? Nisaidieni wanajamii forum

10. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#10
Sep 10, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Jamaa wakimwaga Gucci ama Saville Row suits baaaassiiiiii watakula tax exemption ya kama 25 years. Mambo yenyewe ni suti tu siku hizi

11. ntamaholo

ntamaholo JF-Expert Member

#11
Sep 10, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 10,144
Likes Received: 2,104
Trophy Points: 280
tafadhali angalia bolded and italic words. Ulimaanisha kusema hivyo au typing erro? kama ulimaanisha kwa nini wazawa tulipe kodi mara mbili ya mwekezaji, mtu anyekuja kuiba na kuondoka? kama ni kweli waliopitisha sheria hiyo kwa kufanya mijadala isiyo halali na kula posho za walala hoi halafu waendelee kuwanyonya kupitia kodi

12. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#12
Sep 10, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
i remember this mlimani city deal like it is yesteryear! initially walitoa insert kwenye magazeti,na pictorial projections.majengo yalikuwa marefu,mengi like a real good deal. na walisema ni property ya udsm, na wao watai-run kwa 50 yrs to recover their costs. walipojenga zile godowns, naona kila mtu kimyaaa (mi ningepewa walau kishida nisingesikitika). sasa where is udsm at this deal la kuhamishiana? manake sio kama mlimani city kiwanja kiliuzwa,kama kiliuzwa howa much was the price?
nchi itanjengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno! amen

13. Prisoner 46664

Prisoner 46664 JF-Expert Member

#13
Sep 10, 2011
Joined: Dec 18, 2010
Messages: 1,955
Likes Received: 40
Trophy Points: 145

Mkuu nadhani amekosea kidogo hapo,,ni the other way round..ni 10% kwa resident individual na 20% kwa non resident (Soma section 90.-(1)) ya income tax act, 2004.
Ingawa pia kwa definition ya 'resident' per the ITA,2004 hata hao wamiliki wa sasa wanaweza kuwa residents for income tax purposes ingawa sio raia wa tanzania,,.yani 'resident' as per income tax act haimaanishi raia wa tanzania.

14. N

Ndinani JF-Expert Member

#14
Sep 10, 2011
Joined: Aug 29, 2010
Messages: 5,413
Likes Received: 734
Trophy Points: 280
Muwaite Mathew Luhanga na msaidizi wake Mshana [ kakimbilia Rwanda siku hizi] ndio wanalijua dili hili walilolifuata huko Botswana!!

Loading...