... kwani ukiwa upo Misri au Saudi Arabia ya leo inaongeza au kupunguza nini? Ya nini kujisumbua na vitu irrelevant? Basi let's assume uko Saudi Arabia; then?
kwa mfano:sujawahi kuviamini vitu vinavyoitwa majina kwa kuanzia na "The Real Kitu Fulani" huwa havina huo u-Real.
Naona Saudi anataka kupora hela za misri.Issue ni kwamba kwa wanahistoria huwezi ukasema Mkwawa alikuwa mzungu kisha wakubali kibubusa ilihali wanasoma kuwa wahehe ni weusi, lazima watafute ushahidi. Kwa sababu kama Mkwawa sio mzungu basi ina maana kuna mtu anaiba historia ya mtu mwingine.
Hii mada aliyoiweka mleta uzi sio ya kipuuzi kama unavyodhania wewe. Mlima Sinai unatawala imani ya mabilioni ya Wanaadamu kwa hiyo huwezi kupuuza mahali ulipo kama unavyodhani. Isitoshe kama Mlima uliyopo Sinai Peninsula ya Misri sio Mlima alioupanda Nabii Musa maanake ni kwamba watu wanaofurika huko kutembea kiimani basi ni kama wanaporwa fedha zao buree. Imagine mtalii apandishwe Mlima Kenya kwa kuambiwa ndiyo Kilimanjaro.
Watafiti waliofikia uamuzi huu kwanza wote ni watu walioshiba imani ya dini. Kwa maana hiyo wasingeona tija ya kuhamisha Mlima toka Sinai peninsula ya Misri. Wameongozwa na kutumia akili na imani. Kwa hiyo unapouliza; ".... kama upo Saudia THEN??"; ni kwamba kwa mwenye kuongozwa na Biblia kama kitabu chake cha Imani, data na findings hizi mpya zinamzidishia ithibati kuwa biblia imesimulia kitu cha KWELI na hivyo basi kumpa nguvu zaidi ya imani yake. Hii ya mwisho haiwezi kuwa muhimu kwako ikiwa imani yako ni haba!!.
my ribs!Hata Kenya wanadai mlima Rungwe iko Nakuru, siwashangai Saudi Arabia wwakisema Sinai iko kwao
hhhahahahah, mkuu hapana. Ila watafiti wapya wanaosema Mlima Halisi alioupanda Nabii Musa upo Saudia Arabia hoja zao ni kama ifuatavyo:Naona Saudi anataka kupora hela za misri.
Argument imekwenda shule hiikama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri
Argument imekwenda shule hii
Katika Sinai hizo mbili ni MOJA tuu iliyopo Midian-eneo alilokimbilia Musa alipomuua Mmsiri. Akiwa Midian (Midian ipo Saudia ya leo), alipotokewa na M/Mungu kwa aina ya moto ndani ya kichaka, Musa aliambiwa atajawaleta wana wa Israel wamwabudu Mungu katika MLIMA huo (Exodus 3:12).Sinai zote mbili ni baada ya kuvuka bahari
Sawa kabisa mkuu. Ni Mlima uliopo Saudia Tuu ambao upo eneo lililoitwa Midian. Infact hata Mtume Paul alitaja kuwa mlima huu uko ARABIA (Wagalatia 4:25).watu wasichanganye mfereji wa suez ambao ni man made na bahari ya sham (red sea)
Mlima Sinai uko Kenya kwa mujibu wa safari za wale watu wa kale zilivyokua zikitokea Cush ambayo ni Ethiopia na walipanda uelekeo wa Kenya ya leo katika milima Sinai..mzungu na mwarabu ni fedhuri tu,kuvutana kwao kulituletea mkanganyiko
waliotokea Cush kuufata Mlima Sinai Kenya walivuka bahari gani na wapi? Kisha ukiwatusi watu kwa rangi zao, ni kipi kitawazuia wao pia kuitusi rangi yako??Mlima Sinai uko Kenya kwa mujibu wa safari za wale watu wa kale zilivyokua zikitokea Cush ambayo ni Ethiopia na walipanda uelekeo wa Kenya ya leo katika milima Sinai..mzungu na mwarabu ni fedhuri tu,kuvutana kwao kulituletea mkanganyiko