Mlima Sinai uko Saudi Arabia?

Mlima Sinai uko Saudi Arabia?

kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri
 
Acheni ungese wenye mlima wametulia nyinyi huku machokoroni mnatoka mapovu
 
kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri

Mlima Sinai (wa Egypt) pia ni baada ya kuvuka bahari ya Sham
Na huu wa Saudia ni baada ya kuvuka bahari ya Sham

Bahari ya Sham ina matawi mawili, moja ipo kwenye territory ya Misri, tawi jingine lipo Saudia

africa-egypt-mount-sinai.jpg
 
kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri
Kwani hujuikama eneo la Sinai ng'ambo ya pili ya bahari ya Shama ni sehemu ya Misri? Mbona hamtaki hata kujishughulisha na kujua jiografia ndogo kiasi hicho. hata uku-google tu unapata ramani yote ya Misri. Sinai ipo upende wa pili wa Bahari na sehemu ya Misri miaka yote. Ramani hiyo hapo.

1553757438069.png
 
View attachment 1055878
nashukuru mkuu
 
Sisi hata tubishe au tukubali hatujui lolote zaidi ya kufuata mkumbo au kusoma tu.
Kuna watu na taaluma zao na wanazitendea haki hizo elimu kwa kuchunguza na kuingiza hela nyingi kwa tafiti
Mimi siwezi kubisha bali ntakuwa mfuatiliaji tu
Wataalamu wetu wanaishia kuunga mkono siasa tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Uislam unakupofusha maana naamini umesoma historia ya Musa na wana wa Israil na Amri kumi ila saivi unajivika blind fold

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam unakupofusha maana naamini umesoma historia ya Musa na wana wa Israil na Amri kumi ila saivi unajivika blind fold

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimesema siamini
Halafu unanishutumu kwa lipi hapo
Mbona vitabu vyote vimeandikwa sasa tatizo liko wapi kama mtu kaja na tafiti zake si ukampinge yeye

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu, ungekuwa unaamini na kuipenda bible usingeuliza swali kama hili!.

Yaani kwako wewe kujua vitu kama sanduku la agano lilipo, Golgotha ni wapi, Mlima sinai halisi ni upi na vitu kama hivyo huoni kuwa ni muhimu kwa sababu hupendi bible, sisi wengine tunapenda kujua kuhusu mambo haya kwa sababu tunapenda bible

Tuachie sisi bible yetu wewe baki na mambo unayoyapenda
Nafahamu mengi ndani ya bible. Huo mlima hautokusadia kitu. Be a good person
 
In Galatians 4:25, the Apostle Paul identifies
Mount Sinai as being in Arabia. He writes:
“For these are the two covenants: the one
from Mount Sinai which gives birth to
bondage, which is Hagar - for this Hagar is
Mount Sinai in Arabia, and corresponds to
Jerusalem which now is, and is in bondage
with her children –“ (4:24-25
 
Mlima Sinai (kwa Kiarabu: جبل موسى jabal Musa = mlima wa Musa) ni mlima wenye kimo cha mita 2,283 juu ya UB katika eneo la kusini la Rasi ya Sinai nchini Misri. Unajulikana pia kwa jina la Mlima Horeb au kwa jina lake la Kiarabu kama Gebel Musa(matamshi ya Kimisri) au Jabal Musa(matamshi ya Kiarabu sanifu).

Mlima Sinai unaaminiwa tangu kale kuwa ndio mahali ambako Musa alipokea amri kumikutoka kwa Mungu wakati wa Wanaisraelikuacha utumwa wa Misri.

Kilele cha mlima kina kanisa la Waorthodoksilenye asili ya jengo la Kaisari Justinianol la mwaka 532 na pia msikiti wa karne ya 12.
Musa alipokea amri baada ya kutoka Misri, baada ya kuvuka bahari ya shamu
 
Back
Top Bottom