lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
weka picha.
siku hiz sekenke hakuna mlima ni barabara tu ya kawaida ila kitonga nomaaa,enzi zle tunaenda mza kupita singida na mashiku bus service ni balaa mkuu,
mwaka gani huo?Mashiku ya juzi Mkuu kulikuwa na kitu kinaitwa Tanganyika bus iliuwa watu 62 pale sekenke. Mashiku inapita mlima umechongwa ule, kitonga labda zile kona tu. Kwa ninavyoona mimi Hata saranda ilikuwa ni mbaya kabla haijachongwa kuliko kitonga.
Sekenke ulipita lini mara ya mwisho? Sekenke ya sasa hata ma-learner wanapita bila hata kujua kuwa wamepita sekenke
kitonga panatisha,huwa naogopa mkiongozana na lori,assume linashishindwa kuapanda mlima halafu lirudi acha kabisa
Kilimanyege Zanzibar ndio naona unatisha.