Mlima kilimanjaro umetinga rasmi kwenye fainali za kutafuta new 7 world wonders of th | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlima kilimanjaro umetinga rasmi kwenye fainali za kutafuta new 7 world wonders of th

Discussion in 'International Forum' started by Reasoning, Jul 18, 2010.

 1. R

  Reasoning Member

  #1
  Jul 18, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MLIMA KILIMANJARO UMETINGA RASMI KWENYE FAINALI ZA KUTAFUTA NEW 7 WORLD WONDERS OF THE WORLD YAANI MAAJABU 7 YA DUNIANI. TUNASHUKURU BWANA ANKAL KAMA ULIVYORIPOTI HAPO SIKU ZA NYUMA TUUPIGIE KURA MLIMA WETU, KWENYE MTANDAO HUU WA JAMII.
  WAKATI WA TAARIFA HIZO, MLIMA KILIMANJARO ULIKUWA NDANI YA ORODHA YA MAAJABU 406 YA DUNIA KATIKA KINYANG'ANYIRO HIKO. HIVI SASA KWENYE ORODHA HIYO YAMEBAKIA MAAJABU 28, NA MLIMA WETU WA KILIMANJARO UNASHIKA NAFASI YA 8. KURA ZA MAONI BADO ZINAENDELEA KUFANYIKA SEHEMU MBALI MBALI DUNIANI KWA KUWASHIRIKISHA WADAU WA MATAIFA YOTE.
  MATAIFA YENYE MAAJABU YAO YA ASILI YA KUJIVUNIA YAMEANZA KUPIGA KURA KWA KASI. HAKIKA NI VYEMA NA NI WAJIBU WETU WATANZANIA WOTE TUENDELEE KUUPIGIA KURA MLIMA WETU, ILI UWEZE KUPANDA CHATI NA KUWA MSHINDI KATIKA FAINALI HIZO.

  TAARIFA HIZI ZA MLIMA KILIMANJARO KUTINGA FAINALI, ZIMETHIBITISHWA RASMI JANA NA MKURUGENZI WA NEW 7 WONDERS, BWANA JEAN-PAUL DE LA FUENTE,ALIPOTEMBELEA NA KUFIKISHA RASMI HABARI HII KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA. BWANA JEAN-PAUL ALIKARIBISHWA UBALOZINI NA MHESHIMIWA KAIMU BALOZI, BWANA CHABAKA F. KILUMANGA.

  TAARIFA RASMI ITAFUATIA BAADE KUHUSIANA NA JAMBO HILI MUHIMU, AMBALO LITAPANDISHA CHATI NCHI YETU DUANIANI KATIKA SEKTA YA UTALII NA UWEKEZAJI, NA KUONGEZEKA KWA AJIRA NCHINI, KAMA ILIVYOKUWA KWA WASHINDI 7 WA MARA YA MWISHO KATIKA KINYANG'ANYIRO HIKO,AMBAO WALIPATIKANA MWAKA 2007, TAKWIMU ZINAONYESHA SEKTA YA UTALII KWA NCHI ZAO IMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 2.
  WASHINDI WA MARA YA MWISHO, WATAALAM WANASEMA WALIKUWA KUTOKANA NA MAN MADE 7 WONDERS (MAAJABU 7 YALIYOTENGENEZWA NA BINADAMU), NA SASA HIVI NI NATURE NEW 7 WONDERS YAANI (MAAJABU 7 YA ASILIA). HAKIKA MLIMA WETU KILIMANJARO UNASTAHILI KUWEKO KWENYE ORODHA HII, NA NI JUKUMU LETU WATANZANIA KUPIGA KURA KUHAKIKISHA MLIMA WETU UNASHINDA.


  KWA HABARI ZAIDI NA KUPIGA KURA, TEMBELEA: Welcome to the official global voting platform of New7Wonders | New7Wonders

  Souce: Michuzi blog
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  khabari njema hii.
   
 3. A

  Audax JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inabidi tuzidi kutunza mazingira yaliyouzunguka ili tuzidi kunyakua hizo medali.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Whether tunapiga kura au hapana, ukweli utabaki pale, kwamba ni mlimamrefu, na hata ukiondolewa kwenye hizo polls, we dont have anything to loose, my take!
   
 5. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  NO! Kuna maana yake na umuhimu wake. Watu wengi sana Duniani ambao wanapenda travels and sights, huwa wanaangalia kwanza kwenye wonders za Dunia kuona kama ni ipi mpya ambayo hawajawahi itembelea. Kwa hiyo wana-plan safari kulingana na ranking ya hizo polls na upendeleo wake wa kutembelea. Kwa mfano, itokee mwaka huu Kilimanjaro ikawa moja ya seven wonders, kuna chances kubwa sana ya watalii wengi ku-plan safari zao kuelekea upande huu wa Dunia iwapo kwenye wonders zingine wamewahi kwenda. Na watalii hawa ni wale wenye pesa zao. Siyo vishuka watembea na blanket!

  So please, vote vote vote,,,
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Kikwete angekuwa anaondoka huku akiwa amevaa tshirt zenye picha ya mlima kilimanjaro mbona duniani kote ungejulikana!!!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mh ata nkipiga kura wataliii wakija teeeeeeeeeeeeleeeeeeee mi spat chochote ela zao wamnachukua wao mmh mmh mi chtaki bana let t b as t is
  i thak god 4gvng us such a wondful n xpensve gft bt few opf us get rid on its fruit thats pain me alot
  wenye nchi yao wapige kura ili watalii wakija wapate maela mengi
  inaniuma jinsio wanavyoshndwa ku utilize those resources yan tungeish maisha manono sana only if those bell keepers wangejua jinsi ya kutenda m na maliasili zetu
  ivI WANAfanyaga makusudi au ni kutojua??

  sipigi mie kura cxz god ashauweka mlima u kuwa juu na utakuwa juu no mata wat its only poliotics n lak of skils on hw to sell t n make pipo knw its existance

  aaah ebu mie niwai jikoni nkachambue matembele yangu nijidunge na kaugali nlale ninenepe nshachoka kuwa macho cz every tym mawazo mabaya ,machovu ya pbm za maisha due to uzembe wa gvt yanaizonga akili angu

  nawasilisha.
   
 8. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Rose, hayo matembele yako na ugali yangenoga zaidi kama ungepiga kura. Hiyo hela uliyonunulia matembele pamoja na unga na pia moto wa kupikia ni Mt. Kilimanjaro ime-contribute kwenye big bowel pale hazina. Suala la kuwa hakuna kinachofanyika inategemea na wewe kama unafanya chochote. Kwani unataka nani akufanyie wewe? Play your part. hakuna kitu kinaanza tu toka mbinguni na kushuka hivi hivi. Ni mpake pale mimi na wewe tukifanyie kazi hasa. Ukianza kulalama kwamba hakuna kinachofanyika, wewe ni kipi ulitaka kifanyike ambacho wewe huwezi kifanya? Mfano natural resources unayoongelea wewe ulitaka iweje ambacho haiko hivyo? Umeshiriki kivipi?

  Piga kura tafadhali, wakija wale watalii watanunua hayo matembele na wewe siku hiyo utaenda kula samaki na nchele wa kupika pale hotelini. waambie na wenzako wapige kura.
   
 9. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #9
  Jul 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bill Clinton's A-list wish:
  "I would like to live to see my own grandchildren… I'd like to live to know that all the grandchildren of the world will have the chance in the not-too-distant future to live their own dreams and not die before their time." (His daughter Chelsea is getting married at the end of this month).
  Bill Clinton's lighter B-list wish includes:
  "I'd like to climb Kilimanjaro before the snows melt." (Studies predict that climate change will melt the snow on the famous mountain within 20 years.)
   
 10. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35


  Rose,, nimeipata hii:
  Tourism is Tanzania's biggest foreign exchange earner, fetching the country USD1.3bn last year. :: IPPMEDIA
  Kilimanjaro ni sehemu ya huu utalii. Piga kura.
   
Loading...