HAKUWEPO rajab kiravu hapoWamechakachua kura hao.
sijaonaga!!hivi hakunaga mashindano ya kupigia kura serikali ya ajabu duniani!....
mkuu nina wasiwasi na uraia wako, hadi unipe sababu za msingi japo hata mimi kwa sasa kuna nchi nazipenda kuliko Tanzania hasa ukilinganisha na utawala tulionao, na woga wa wananchi.nimefurahi sana ulivoengulia nlima kilimanjaro...