Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,674 Reaction score 112,687 Oct 3, 2026 #22 Traxtion said: Kwa nini, kisa nimeukubali Mlima Kilimanjaro au? Mbeya hakuna Mlima kama huu, af napenda sana kuangalia milima kwa hiyo ninaappreciate Mlima Kilimanjaro Mbeya tunao huu, ambao nao naukubali pia. Napenda sana milima View attachment 3683134 Click to expand... Mkuu, nenda kapige picha kwenye kona za mikoa pale kawetere allo....🤣
Traxtion said: Kwa nini, kisa nimeukubali Mlima Kilimanjaro au? Mbeya hakuna Mlima kama huu, af napenda sana kuangalia milima kwa hiyo ninaappreciate Mlima Kilimanjaro Mbeya tunao huu, ambao nao naukubali pia. Napenda sana milima View attachment 3683134 Click to expand... Mkuu, nenda kapige picha kwenye kona za mikoa pale kawetere allo....🤣
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 7,940 Reaction score 16,286 Oct 3, 2026 Thread starter #23 Ushimen said: Mkuu, nenda kapige picha kwenye kona za mikoa pale kawetere allo....🤣 Click to expand... Uuuh, okay
Ushimen said: Mkuu, nenda kapige picha kwenye kona za mikoa pale kawetere allo....🤣 Click to expand... Uuuh, okay
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,674 Reaction score 112,687 Oct 3, 2026 #24 Traxtion said: Uuuh, okay Click to expand... Yeah....
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,262 Reaction score 177,469 Oct 3, 2026 #25 Traxtion said: Siku nitaenda Kibosho niuone vizuri Click to expand... Kuna hiyo Amboseli national Park ya Kenya ni view matata zaidi
Traxtion said: Siku nitaenda Kibosho niuone vizuri Click to expand... Kuna hiyo Amboseli national Park ya Kenya ni view matata zaidi
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 7,940 Reaction score 16,286 Oct 3, 2026 Thread starter #26 min -me said: Kuna hiyo Amboseli national Park ya Kenya ni view matata zaidi Click to expand... Naonaga yeah, view ya upande wa pili, ambako unauona Mlima Kilimanjaro na wanyama pia
min -me said: Kuna hiyo Amboseli national Park ya Kenya ni view matata zaidi Click to expand... Naonaga yeah, view ya upande wa pili, ambako unauona Mlima Kilimanjaro na wanyama pia
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,687 Reaction score 50,282 Oct 3, 2026 #27 Monetary doctor said: View ya kibosho inavutia haswa .... Hii ya rombo anaikubali ndege mdinya cc secretarybird Click to expand... Ni noma ujue!
Monetary doctor said: View ya kibosho inavutia haswa .... Hii ya rombo anaikubali ndege mdinya cc secretarybird Click to expand... Ni noma ujue!
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,227 Reaction score 27,197 Oct 3, 2026 #28 secretarybird said: Ni noma ujue! Click to expand... Hatare sana
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,687 Reaction score 50,282 Oct 3, 2026 #29 Monetary doctor said: Hatare sana Click to expand... Mlima Kilimanjaro nasikia unaungua kwa moto saa hii.
Monetary doctor said: Hatare sana Click to expand... Mlima Kilimanjaro nasikia unaungua kwa moto saa hii.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,828 Reaction score 196,603 Oct 4, 2026 #30 Umepungua sana theluji... Cc: Mahondaw