Mlikuwa mnapata wapi?

Mlikuwa mnapata wapi?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Eti,kwenu wenzangu na mie (mliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu),mlikuwa mnapata wapi 'huduma'?
 
Huduma ya chakula tulikua tunabwalo letu la misosi... nadhani nmekujibu
 
Tulikuwa tunaandaliwa Disco na Sekondari ya wavulana.
Halafu Headmistress kesho yake anatuuliza,
"Kusoma hamjui,hata picha hamuoni"
au anatuambia "Kesho Headgirl hakikisha taa za Super Hall haziwashwi wanangu wanaletewa wachumba"
akitamka kauli hiyo tu,ujue kesho tunaletewa mapatna.
Tunarukaje!!
 
tulizingatia shule kwanza si unajua mapenzi na shule ni mlenda na chai
 
Hahahahahahahahahaha
sipati picha wangu!

Tulikuwa tunaandaliwa Disco na Sekondari ya wavulana.
Halafu Headmistress kesho yake anatuuliza,
"Kusoma hamjui,hata picha hamuoni"
au anatuambia "Kesho Headgirl hakikisha taa za Super Hall haziwashwi wanangu wanaletewa wachumba"
akitamka kauli hiyo tu,ujue kesho tunaletewa mapatna.
Tunarukaje!!
 
Shule yetu ilikuwa ya walokole tupu, tulipendelea huduma za kiroho sana!

Tulisifu na kuabudu kwa sana!
 
Huduma zote zilikuwepo kwenye duka lashule pamoja na kantini, pesa yako tu.
 
Nilikuwa nikipata chance ya kuchomoka nje ya fence ilikuwa balaa,kosa moja magoli ishirini, natoka nimepiga na lita kadhaa za ulanzi!
 
Junior. Cux,kindly read between lines. Nilimaanisha mambo yetu yaleee-Mzee aweza kujitetea
 
Eti,kwenu wenzangu na mie (mliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu),mlikuwa mnapata wapi 'huduma'?

Enzi zetu kulikuwa na sabuni inaitwa Rexona, sijui imeishia wapi siku hizi
 
Tulikuwa tunaandaliwa Disco na Sekondari ya wavulana.
Halafu Headmistress kesho yake anatuuliza,
"Kusoma hamjui,hata picha hamuoni"
au anatuambia "Kesho Headgirl hakikisha taa za Super Hall haziwashwi wanangu wanaletewa wachumba"
akitamka kauli hiyo tu,ujue kesho tunaletewa mapatna.
Tunarukaje!!

Debe la disco lights za rangirangi za kubwinyabwinya. Security lights off! Wengine ndani ya hall wengine nje in pairs dancing zero distance style.
 
Debe la disco lights za rangirangi za kubwinyabwinya. Security lights off! Wengine ndani ya hall wengine nje in pairs dancing zero distance style.

Acha tu mkuu.
Afu nilikuwa kiongozi wa starehe hapo shuleni,basi kila mwanzo wa mwezi lazima nikaongee na uongozi wa starehe wa shule ya Wavulana hapo mjini.
Yani ni full burudani,full kujiachia.
Mkimaliza disko saa 8 usiku,mshapeana mpaka contact.
Ila BOARDING SCHOOL raha sana.
 
test tubes zilikuwa zinapotea sana lab!

Halafu wewe snowhite wewe... kule huwa hatugombani si unajua kule ni jukwaa la wagumu? nategemea kuwa mheshimiwa in the next eleksen bana. wewe ukaleta upasua kichwa.WEWE...
 
Tulikuwa tunaletewa wachumba kutoka rugambwa. kuna kipindi walikuwa wanaleta wenye aibu ya kucheza tukawakataa kwenye welcome form five. tukawambia wawe wanatuletea form 6,3,4. videmu vingine vikija vinajifanya havichezi au unakuta vinacheza vyenyewe tu. unamfuata kucheza anakuambia mi sichezi huku wamesimama ukutani kibao. tukamwambia dj wa pamba disco azime mziki. halafu ikatangazwa ambaye hataki kucheza mziki akapande bus lipo nje hakuna aliye toka basi ikawa vurugu tupu. ikapigwa ile ya KRS 1. mia
 
Back
Top Bottom