Mlikuwa mnapata wapi?

Acha tu mkuu.Afu nilikuwa kiongozi wa starehe hapo shuleni,basi kila mwanzo wa mwezi lazima nikaongee na uongozi wa starehe wa shule ya Wavulana hapo mjini.Yani ni full burudani,full kujiachia.Mkimaliza disko saa 8 usiku,mshapeana mpaka contact.Ila BOARDING SCHOOL raha sana.
dah!..umenikumbusha mbali. Ngoja nitafute notebook yangu aisee. mia
 
kwa tuliosoma Boys school, siku njema zilikuwa ni hizi;
Siku watoto wa Ashira, Weruweru au Kibosho wakija school(jina linahifadhiwa) kwenye debate...
Siku za graduation ndio kuna mitoko isiyoeleweka maana at least siku hiyo sheria zote za shule huwa zinaenda likizo at least for 12hours...
Itaendelea.......
 
Back
Top Bottom