rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,523
- 42,030
Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.
Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.