Mlevi

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,580
2,079
Kuna mlevi mmoja alilewa ile mbaya, katika tembea yake akapita karibu na Jaa la taka akaanguka. Suruali ikamvuka akawa M A T A K O yako nje. Akapita Kichaa akasema 'Nani anaefanya israafu huyu anatupa mpaka M A T A K O mazima haya!!!!!
 
dah umenipa tabasamu usiku huu mkuu, nimekulike hapo chini nkaambiwa "an error occured" thanx!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom