Mlevi na rafiki yake

Mlevi na rafiki yake

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,236
Reaction score
4,989
Baada ya kulewa njwiii na rafiki yake mpya aliempata bar, mlevi akamkaribisha rafiki mpya apaone kwake. Walipofika mwenyeji akaanza intro,'Unaona makochi yale, yale yangu, hiyo TV yangu, njoo jikoni..... unaona hilo oven hilo langu, twende chumbani......unaona hicho kitanda, kile changu, na yule mwanamke mzuri kitandani mke wangu. Na yule jamaa wamelala nae yule MIMI, haya twende stoo......"
 
.......nilifurahi sana, nilijua atanichinja, kumbe aliniona kama YEYE tu!
 
Nimecheka hadi nikadhirai,ndo nimezinduka sa hz.
 
Back
Top Bottom