Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 8,917
- 16,191
mlevi amefiwa na kaka yake anatafuta njia nzuri ya kufikisha ujumbe kwa shemeji yake....
mlevi : shemeji mumeo kaoa mke wa pili
shemeji : mshenzi huyo, mungu amlaani afe kabisa
mlevi : vijana ingizeni mwili ndani huo kazi imekamilika huku
mlevi : shemeji mumeo kaoa mke wa pili
shemeji : mshenzi huyo, mungu amlaani afe kabisa
mlevi : vijana ingizeni mwili ndani huo kazi imekamilika huku
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]