wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,549
Mlevi mmoja maarufu kwa jina la Kanzaga anayeishi ktk mji mdogo wa Runzewe uliopo ktk barabara kuu ya Kahama to Rwanda leo majira ya saa 5 asubuhi amejikuta akifanya tukio ambalo hakutarajia.
Kanzaga ambaye kwa muda mrefu amekuwa kila akilewa anampiga na kumnyanyasa mkewe leo aliwasili nyumbani kwake mida ya saa 5 akiwa katoweka nyumbani kwa zaidi ya wiki nzima,alipofika nyumbani kama kawaida yake aliingia ndani na kumkuta mama mkwe wake akiwa kajilaza kwenye mkeka sebuleni,Kanzaga akang'aka "wewe mwanamke umelala badala ya kunipikia sasa nakumiminia dawa uendelee kulala zaidi"ndipo akachojoa suruali yake na kuanza kumkojolea mama mkwe wake akidhani ni mkewe kama alivyozoea kumtesa,ile mkojo unashuka tu,mama wa watu akashtuka na kuamka,kuona sura ya mzaa chema wake aliyezoea kumtesa Kanzaga akatimua mbio kali huku dudu lake likiwa nje ya suruali.
Navyoandika nipo Runzewe hadi sasa Kanzaga hajarudi nyumbani na hajulikani alipo.