Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

Kiwanja Sasa kimefika milion 50 bila punguzo la Bei.

Bro niliyekupeleka kuona hili eneo na lile la milion 500 nakupigia simu yako haipatikani.

Kama utaona huu ujumbe basi mwenyewe kafika milion 50 na sio milion 54 kama mlivyokubaliana.
Fanya kazi acha ujinga wa kujiongelesha mwenyewe hamna pesa ya rahisi hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom