Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,080
- 1,568
- Thread starter
- #21
Ndio mkuu tupo kwajili ya kuwapatia taarifa matajiriHatimae JF imevamiwa na madalali wa town.
Ndio mkuu tupo kwajili ya kuwapatia taarifa matajiriHatimae JF imevamiwa na madalali wa town.
Sifanyi huo ujinga kiwanja chako kama Hakina hati nitakubaliana na Wewe Kwa mwanasheria Kwa maandishi.Dalali dizaini yako ndio kama yule aliyepokea kichapo toka kwa mjeda
Hahahah Luguruni ukauze kiwanja million 90.. nyie madalali mbingu hamtaiona kabisa..Habari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae
📱0754693556
Hao ndio wateja wetu wazuri mkuu kwenye kuwauzia magari na viwanjaDalali kama dalali inabidi akutane na mwanajeshi
Shangaa ujinyeeHahahah Luguruni ukauze kiwanja million 90.. nyie madalali mbingu hamtaiona kabisa..
Shule muhimu wakuuUnajua hesabu kweli ndugu dalali
Mbona sioni picha ya hiko kiwanja, nikiuziwa choo je?Habari wakuu.
Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.
Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.
Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae
📱0754693556
Kama upo tayari nakupeleka ukakione buree kabisaMbona sioni picha ya hiko kiwanja, nikiuziwa choo je?
Unajua maana ya kulenga mkuu?Dalali sqm 1 kwa 350,000/=? Jumla ije 90,000,000/=? Tena Luguruni.....
Kiwanja hata kama kilikuwa kinauzwa Bilion moja lakini kinaweza kulengwa Kwa milion 300 alafu mlengaji anakuja kuuza faida.Dalali sqm 1 kwa 350,000/=? Jumla ije 90,000,000/=? Tena Luguruni.....
Niko tayari ila nataka kuona picha kwanza kabla ya kuja huko na kunipotezea muda wangu, nawajuwa madalali wa kibongo. Mtu anakupromise kitu, utashangaa mwisho wa siku anakuzungusha tu na kukupotezea muda.Kama upo tayari nakupeleka ukakione buree kabisa
Mkuu heshimu Kazi yangu.Niko tayari ila nataka kuona picha kwanza kabla ya kuja huko na kunipotezea muda wangu, nawajuwa madalali wa kibongo. Mtu anakupromise kitu, utashangaa mwisho wa siku anakuzungusha tu na kukupotezea muda.
Shida haijawahi kupata ndio mana unashangaaKutoka milioni 90 hadi 60?
Kiwanja sio changuJenga ukae mwenyewe