Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

Kazi ya udalali ama real estate agency ilitakiwa ihalalishwe ifanywe na watu walioenda shule kidogo.

Tanzania real estate agency inafanywa na kila mtu hata ambae hakumaliza darasa la 2.

Ukiangalia hata matangazo yao mara wengine wajifanye ndio wataalamu wa ushauri wa uwekezaji kwa wateja wao, utasikia hapa ukiweka apartments zinajaa haraka.

Sasa angalia kama huyu, anasema square meter 1, laki 3 na elfu hamsini. Maana yake gharama ya sqm 721 ni milioni 252 ila yeye anauza milioni 90. Kama alikua anauza milioni 90, kulikua na haja gani ya kutaja gharama ya square meter 1?

Halafu Luguruni toka lini sqm moja ikawa laki 3 na nusu?

Hii ndio shida ya biashara ya udalali kufanywa na kila mtu, Tanzania mtu yoyote akikaribia kuchanganyikiwa basi hukimbilia kazi ya udalali.
Naona madalali kama matapeli
 
Habari wakuu.

Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja.

Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta.

Kiwanja hiki kinataka milion 90.
Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae

📱0754693556
Hiyo Luguruni ipo mkoa gani?
Na pia ni nchi gani?
 
Ila Bwana dalali napenda flexibility yako...

Kwenye biashara kuna bahati pia...

Keep moving my G.
 
Kiwanja Sasa kimefika milion 50 bila punguzo la Bei.

Bro niliyekupeleka kuona hili eneo na lile la milion 500 nakupigia simu yako haipatikani.

Kama utaona huu ujumbe basi mwenyewe kafika milion 50 na sio milion 54 kama mlivyokubaliana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom