dogodogo 2
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 114
- 61
Kama kichwa cha Habari hapo juu kilivyosomeka, mimi ni mlemavu wa sikio moja (yaan sikio moja halisikii) tatizo hili lilianza tangu nikiwa shule ya msingi darasa la tano, nikaendelea kusoma mpaka naingia secondary hivyo hivyo mpaka kufikia elimu ya chuo diploma in community development.
Nilijitolea kwa mwaka moja kama afisa maendeleo ya jamii msaidizi katika mamlaka ya mji mdogo baada ya kuhama makazi kwa sasa nipo dar natafuta kazi hata ya kujitolea iwe serikarini au kwenye mashirika /kampuni na iwe kazi yeyote ile nitafanya, nashukuru kwa kutumia muda wako kunisoma na matumaini mtanijuza
Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app